Search This Blog

Wednesday, September 10, 2014

Video: Mchezaji wa NFL afungiwa kucheza baada ya kusambaa kwa video akimpiga ngumi mchumba wake mpaka kuzimia, Mchumba wake ambae ni mkewe kwa sasa amtetea

 Mchezaji wa team ya football ya Baltimore Ravens, Ray Rice amefungiwa kucheza mpira huo na chama cha mpira Marekani NFL (National Footbal League), baada ya video inayomuonyesha akibishana na baadae kumpiga Mchumba wake "Janey Palmer" ngumi iliyompelekea kuzimia wakiwa ndani ya lift mwezi February.


Chama hicho kimemfungia mchezaji huyo ambae alikuwa na mkataba wa miaka 5 kwa dolla milioni 40 tangu mwaka 2012.
Mchumba wake huyo ambae ni mkewe kwa sasa amemtetea mume wake na kuvilaumu vyombo vya habari juu ya maumivu waliyomsabibishia yeye pamoja na familia yake na kuwakumbusha moment katika maisha yao ambayo wanaijutia kila siku kuwa nikitu kibaya na kuendelea kusema kumnyang'aya mwanaume nnayempenda kitu ambacho amekifanyia kazi miaka yake yote ili ti kupata rating ni mbaya sana
kupitia instagram page yake hiki ndicho alichokiandika

0 comments:

Post a Comment