Dr.
Harryson Mwakyembe ni miongoni mwa Mawaziri ambao wanazungumziwa sana
na vijana pamoja na Watanzania wengine kwenye marika mbalimbali kutokana
na jinsi anavyochapa mzigo ndio maana sio ajabu hata kumsikia akitajwa
kwenye nyimbo za Wakali wa bongofleva.
Kwenye Exclusive na millardayo.com Waziri Mwakyembe amethibitisha
kwamba itafikia time Tanzania usafiri wa Treni utakua bora na wengi
watakimbilia huko kutokana na mabadiliko yanayofanyika.
Anasema ‘Usafiri wa Treni umeanza
kuimarika na baada ya muda sio mrefu tutaanza kufanya safari nne au tano
kwenda Kigoma na Mwanza, watu watapanda Treni‘
Tuesday, September 23, 2014
Home »
Maxwellpain.blogspot.com
» Exclusive: Safari za Treni Tanzania kuongezeka.
0 comments:
Post a Comment