Search This Blog

Saturday, September 20, 2014

Big Brother AfricaHotshots kufanyikakwa siku 63 badala ya91

Mashabiki wa reality show ya Big
Brother Africa mwaka huu watakuwa
na muda mfupi zaidi wa kupata
burudani ya kipindi hicho, baada ya
siku za washiriki kukaa kwenye mjengo
wa Biggie kupunguzwa kutoka 91
kama ilivyokuwa miaka mingine hadi
siku 63.
Huenda kupunguzwa kwa siku
kumketokana na BBA Hotshots
kuchelewa kuanza baada ya nyumba
iliyokuwa imeandaliwa kuungua moto
September 2, na kusababisha
kuahirishwa kwa uzinduzi uliokuwa
umepangwa kufanyika September 7
na sasa utafanyika October 5.
Hii ni sehemu ya habari inayotaja siku
63 za shindano la mwaka huu
iliyoandikwa kwenye website maalum
ya Big Brother Hot Shots.
“Big Brother Africa returns to the
continent’s television screens, a little
later, a lot better and definitely hotter!
Big Brother HotShots is going to dish
out drama, more entertainment than
you can handle and most importantly
a cool USD300 000 to the housemate
who will manage to survive 63
days in Biggie’s house “.

0 comments:

Post a Comment