Search This Blog

Tuesday, September 23, 2014

Picha,Video Ya Rich Mavoko’PachaWangu’ Kutoka Wiki Hii.

IMG_20140923_135504Shabiki wa Rich Mavoko kaa tayari kwa video mpya ya msanii huyu inayoitwa ‘Pacha Wangu’. Video ya mwisho kutoka kwa Rich Mavoko ilikuwa roho yangu na haikuwa na kiwango cha kushindana na video zilizokuwa kwenye mzunguko kwa wakate ule. Video inatoka alhamisi ya 25/September/2014.

0 comments:

Post a Comment