Kila siku vituo mbalimbali vikubwa vya TV Afrika hupokea mamia ya
video za Wasanii kutoka nchi mbalimbali za bara hili kwenye kipindi hiki
ambacho video zimekua ni ushindani mkubwa mpaka wengine kutumia
mamilioni ya pesa kuziandaa tu.
Nigeria bado imekua nchi inayoongoza kwa video zake kuchezwa kwenye
TV mbalimbali ambapo kwenye playlist ya leo nimekutana na hii pia ya
‘shake body’ ya Skales ambayo ni miongoni mwa zinazochezwa sana.
Tuesday, September 23, 2014
Home »
Maxwellpain.blogspot.com
» Video nyingine ya Afrika inayochezwa sana kwenye TV
0 comments:
Post a Comment