Search This Blog

Friday, September 19, 2014

Diamond Platnumzkutumbuiza Toronto,Canada JumamosiIjayo

Diamond Platnumz ni miongoni mwa
wasanii wa Afrika wenye ratiba ngumu
sana kwa sasa, kutokana na mfululizo
wa show za nje na ndani ambazo
anaendelea kuzifanya.
Baada ya weekend iliyopita
kutumbuiza kwenye show ya ‘Africa
Unplugged’ jijini London akiwa na
Davido na Tiwa Savage, mwimbaji
huyo wa ‘Mdogo mdogo’ ambaye
bado yuko Uingereza Ijumaa
(September 19) atakuwa na show
nyingine London, Jumamosi
(September 20) atakuwa Stuttgart,
Ujerumani na Jumamosi ya wiki Ijayo
(September 27) Diamond na kundi
lake la Wasafi watakinukisha Toronto,
Canada.

0 comments:

Post a Comment