|
Blue akifanya show bila viatu baada ya kuvuliwa na mashabiki wake... |
Jumamosi ya wiki iliyopita ilifanyika bonge la show pale
Geita tena kwa kiingilio cha shilingi elfu kumi ikiwa ni tofauti na
mikoa mingine ambapo kiingilio uwa ni shilingi elfu tano lakini nyomi ya
watu ambao waliudhulia show hiyo ilikuwa Nisheedah! Nakukumbusha pia
Geita haikuwa kwenye
list ya Tour ya
Serengeti Fiesta ila kutokana na muariko maarumu ikabidi tufika pande
zile na kwajinsi walivyo itikia wito ebhana eeh mwakani lazima timu
nzima ya Serengeti Fiesta idondoke pande zile za Geita.
|
Mashabiki wa Blue wakiung'ang'ania mguu wake... |
0 comments:
Post a Comment