Nick
Cannon ndio super star aliyeripotiwa kuvaa kiatu chenye gharama kubwa
zaidi duniani.Nick amevaa kiatu hichi kwenye jukwa la fainali za kipindi
cha kutafuta vipaji cha American’s Got Talent. Kiatu hichi chenye
dhahabu na almasi kinathamani ya dola milioni 2.2.
Utafahamu kuwa Nick ni mume wa msanii Mariah Carey ambaye utajiri wake unakadiriwa kuzidi dola za Kimarekani milioni $510.
Sonara aliyetengeneza kiatu hicho anasema Nick alitaka kutengeneza
historia kwa kuwa star wa kwanza duniani kuvaa kiatu chenye thamani ya
dola milioni 2.2.
Mkonini Nick alivaa Rolex kali pia.
Monday, September 22, 2014
Home »
Maxwellpain.blogspot.com
» Nick Cannon Ndio Super Star Aliyeripotiwa Kuvaa Kiatu Chenye Gharama Kubwa Zaidi Duniani.
0 comments:
Post a Comment