Hii leo huko nchini Afrika kusini msikiti
uliozusha utata baina ya waumini wa dini ya Kiisilamu mjini Cape Town
unatarajiwa kufunguliwa rasmi. Wadhamini wa Msikiti huo wanasema itakuwa
nyumba ya ibada kwa Watu wa madhebu yote bila kumbagua mtu yoyote,huku
baraza la waisilamu mjini Cape Town likipinga kuwepo kwa msikiti huo kwa
madai kuwa viongozi wa msikiti huo wanapinga mafundisho ya mtume Mohd -
Salalahu Alayhi Wasalam.
Friday, September 19, 2014
Home »
Maxwellpain.blogspot.com
» Msikiti wazua Utata Afrika Kusini
0 comments:
Post a Comment