Ujauzito
wa msanii wa Witnes umeharibika siku ya ijumaa iliyopita na anasema
hadi sasa hajajua chanzo ni nini.Witnes amesema alikuwa na ujauzito wa
watoto mapacha ila yeye anaendelea vizuri kwa sasa.
Hii ndio message aliyonitumia mchana .Pole kwa Witness na familia yake
USIPITWE NA HABARI MBALIMBALI ZIKIWEMO ZA SIASA NA NYINGINE NYINGI NI HAPAHAPA WWW.MAXWELLPAIN.BLOGSPOT.COM ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG PENDWA
Tuesday, September 23, 2014
Home »
Maxwellpain.blogspot.com
» Ujauzito Wa Watoto Mapacha Wa Witness Umeharibika.
0 comments:
Post a Comment