Arsenal walivubja rekodi ya miaka miwili kwenye Barclays Premier
League jumamosi iliyopita kwa kukamilisha jumla ya pasi 741 katika
ushindi wao wa magoli 3-0 dhidi Aston Villa.
Usiku wa jana katika uwanja wao wa
Emirates ilikuwa zamu ya vijana wa
Arsene Wenger kufundishwa soka na vijana wa Ronald Koeman Southampton.
Southampton ambao waliutawala mchezo wa jana kwa kiasi kikubwa
walianza kwa kufungwa katika dakika ya 14 kwa goli zuri la adhabu ndogo
nje kidogo na eneo la hatari la Southampton.
Saints wakasawazisha kwa mkwaju wa penati kupitia Dusan Tadic.
Katika cha pili beki wa kulia wa kiingereza Nathaniel Clyne alifumua
shuti kali la umbali yadi 39 lilomshinda golikipa mpya wa Arsenal David
Ospina.
Na mpaka mpira unamalizika Arsenal 1-2 Southampton – na kwa Matokeo hayo Gunners wameyaaga mashindano ya Capital One.
Timu zilipangwa hivi:
Arsenal: Ospina 4; Bellerin 5 (Akpom 86), Chambers 6.5, Hayden 5,
Coquelin 5; Rosicky 5, Diaby 5.5 (Cazorla 67); Campbell 5.5
(Oxlade-Chamberlain 71), Wilshere 5, Podolski 4; Sanchez 6.
Subs: Gibbs, Mertesacker, Martinez, Ajayi.
Booked: Rosicky, Wilshere
Manager – Arsene Wenger: 5
Southampton: Forster 6; Clyne 8, Fonte 7, Gardos 7.5, Targett 7
(Bertrand 85); Wanyama 6.5, Schneiderlin 9; Mane 7.5 (Long 72), Davis 7,
Tadic 7.5; Pelle 7.
Subs: Davis, Cork, Mayuka, Reed, McCarthy.
Booked: Wanyama, Pelle, Tagett, Forster
Manager – Ronaldo Koeman: 8.
Referee: Keith Stroud.
USIPITWE NA HABARI MBALIMBALI ZIKIWEMO ZA SIASA NA NYINGINE NYINGI NI HAPAHAPA WWW.MAXWELLPAIN.BLOGSPOT.COM ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG PENDWA
Wednesday, September 24, 2014
Home »
Maxwellpain.blogspot.com
» Capital One: Hiki ndicho Southampton walichoifanya Arsenal nyumbani kwao jana!
0 comments:
Post a Comment