Mwanamuziki wa RnB Tanzania amezua balaa katika baada ya kupost picha
ya mwimbaji wa kike Alicia Keys akiwa mtupu na mjamzito na kuandika ‘I
Love it’ .
Picha hiyo imepokelewa kwa mitazamo tofauti ya mashabiki wanaomfuata
Instagram ambapo wengine walionesha kushangazwa na kitendo hicho huku
wengine wakimsapot na kumtetea wakieleza kuwa hakuna kosa kwa kuwa
alikuwa anasapoti kampeni ya ‘We are Here’ inayopewa nguvu na Alicia kwa
mtindo huo.
Kampeni hiyo inatafuta sapoti ya watu wote duniani wanaopenda dunia
iwe na amani kwa ajili ya kuwalinda zaidi watoto. Alicia amefanya wimbo
maalum kwa ajili ya kampeni hiyo na ameeleza kuwa anataka dunia nzima
iuimbe.
Ingia hapa kufahamu zaidi
kuhusu kampeni ya We Are Here inayolenga katika kuhamasisha amani na
uzazi salama kwa ajili ya watoto wote duniani.
“It’s you and me on a mission to create a kinder and more
peaceful world. The #WeAreHere Movement begins today. Read more here and
thank you @nickkristof for sharing your bright voice with all of us.
(Link in bio).” Aliandika Alicia kwenye post yake aliyoweka picha hiyo.
Hizi ni baadhi ya comments za mashabiki:
JohnKyara: Alicia Keys ni among verY
few singers wasiokuwa na skendo za nude Pics ... Currently anafanya
project aliyoiita WE ARE HERE na lengo la hii project is to channel her
music and her fans to social justice causes, from stricter gun laws to
criminal justice reform, from gay rights to global girls’ education...
Kaongea mengi Kuhusu Blood sheds huko Gaza, raping and all kinda staffs
.. Na yeye kama yy kasema idea ya pic ni ku draw attention ya fans wake
ili wajue wat she z doing for the world . . Mnaopaza saut kukemea
jiulize mara ya mwisho kumsaidia mtu ilikuwa ni lini?. . #Instatarumbeta
tuuu, na uvivu wa kutaka kujua Zaidi
Cleophaskalega: Cijui nani yake lakini ni kuzalilisha wanawake, wakati ye kioo cha jamii@ maalimswafi.
Read more at http://websta.me/n/iambenpol#a1sot4Hjof7ZJ82L.99
Jarumanunited: Kioo cha jamiii maaana
yake nini nyiee acheni hizo mambo za Mwaka 47 , kamuweka tu huyo dem as
it seems anaweza Akawa tayar mjamzitoo
Lilyana_g16: @iambenpol thank you for
posting this, The cause is fulfilling & I think she looked super
sexy pregnant way better than u judgemental, conservative & ignorant
#instatarumbetazzzzzzz (or ur hoe's/bae's/wife's - whatsoever)
Harunabobani: Mbona ts like people are
talking shits....every one has the right to whatever he/she
wants....respect to @aliciakeys ....jamaaa aliepost hii picha HE IS ONE
OF MY FAVRTE R&B SINGER APA BONGO respect to ya @iambenpol
temy10 Yah nice @iambenpol 9h
jurgenroc @drydenbryden watanzania wana hasira c mchezo maskin Alicia 9h
jarumanunited Yeye kapenda kuweka kama ana kubore mu unfollow 9h
stansylambat Ni sahihi huyu ni Alicia Keys.., Lakini Hii imekushushia Heshima kidogo.! 9h
prostevejr nmekwazika @iambenpol 9h
cutemy10 U know wanawake huwa hatu
dhalilishwi wenyewe ndio tuna jidhalilisha my dia usitukane bure kwani
huyo ben pole kaenda kumpiga pcha au kapiga mwenyewe big dada then sorry
ni hili tu umeliona linatudhalilisha@cleophaskalega and @neliusneestory
9h
misshatibu Duh this people who comments are
judgemental&ignorant,they don't even no y she did that?they don't
even know y u posted her
heddyson12 Nilikuwa nakuheshimu saana wewe kama kioo cha jamii, unapost picha kama hii bwana, hacha utoto bwana wewe!
ansiqthedonjames Tuache kama ilivyo lbda kapenda kmchek alickeys
lilykifaluka Mmmmmmh@iambenpol,naw umezid yan nahis sasa utatuwekea uchi sasa maana duuu 9h
nichodaffa Uyo @aliciakeys iyo pic amepiga mwenyewe n tc a
campaign o a project named #iamhere so kama mtu ameipenda is t bad for
him to post t. By the way even u, u r kioo cha jamii ila ujajijua tuu
kama amekubore unfollow
rklzi Nc
marynyabenda Lakini sio poa kabisa tambua hata wewe ulikuwa humu
jaribu kutustiri jamani,muheshimu sana mama kwani pepo yako ipo chini
yake c et my @doble_j_2 9h
chricsam Mnajfanya Mnamaadir Pumbavu Wengne Malaya Humu Hamna
Lolote! Love @aliciakeys love @iambenpol We Post Wakuchukia Ni Mmewe
SwizB Sio Nyie Watomba Watombwaji 9h
siahkhamis Jamn majaji mtende haki isimshushie heshima aliepiga na kuisambaza imshushie jina yy??
totochokozi Gjjgfyujbnlyqfhloiuyfuck ujkejkiekrruykyoy 9h
moodychanday Kwan aliyepost hiyo picha na aliyepiga nani Kioo Cha Jamii zaid ya Mwenzie!!? 9h
jarumanunited Kwani aliepostiwa hapo ni mama enu ??? Hebu
muaacheni Ben wa watu malaya wakubwaa nyiee , halafu watu kama nyiee
ndio mnaongoza kwa kufilanaa 9h
hashimsagitoi Dooo?salala.. 9h
eye_de_marie oh my God many people are
so ignorant... Kama hujui sababu ya mtu kupost kitu alicho post ni bora
unyamaze....kwani nini cha ajabu hapo....mbona picha za utupu mnawatch
au kisa hamjulikani thats why mnakuwa wepesi wa kujudge watu....acheni
ujinga wa kujifanya nyie ndo wenye heshima kumbe hamna lolote.... He
posted that because he has a reason behind so stop being so fool
minded.....let him do his things the way he likes...you are not God to
judge him so stop the bullshit....we all have haters so if you hate
@iambenpol just unfollow him ok...go live ur poor minded life you all
that hate people for no reason
leylaally92 Mmmmh ben nakukubali sana lakin tena jaman dah@iambenpol 9h
who_iz_salmenah_bebe mmh
suma_john @eye_de_marie well said
cutehildambisa Jamani muache Bernard
wa watu ye kakop na kupesi km anasema mkandamizajii.. Aliyekubali
kupigwa hiyoo picha ndo fu***k co @aimbenpol ..mtukaneni Alicia na mmewe
### Over 9h
d_brother_mjukuu_wa_ntimba In short ukisapot ugoro nawee ni
mpenda ugoro xo means huyo ben pol ata yeye anawaza kufanya hivyo coz
hajatupia comment tukaelewa alicho kiwaza kupost hiyo pic 9h
ben_gulayi Mbona face ka alicia Keys? @ ben pol
obi_g_mbise @lytxbaybie
hapixlucas Nyie vp??? Kioo cha jamii
gan?? Jtu zma miaka 39 lnalalama et kioo cha jamii,km hukufunzwa kwenu
uctegemee ben akufunze nyambaf!! Wengne mmejaza pcha za x kwny cm zenu
saiv mnajdai kioo cha jamii my foot!! Hamjui ata kwnn kapost @nichodaffa
baelezeee!! Mfyuuuuuuu! 9h
lemyjohn Wote mnaocoment kumtukana
@iambenpol hamjelew hamna uelewa tuseme hyo pic benpol alienda kumpiga
pic we unajua kaitoa wapi ye huyo Alicia keys mnafikir ye mjinga kama
nyie hajui kama hyo pic ipo kwenye mitandao asingeirusha yye hyo benpol
angeionajee wee kma huoni yee ni kioo cha jamii unfollow account yake
nawala hajarusha kwa maana mbaya @#all 9h
neliusneestory :Haufai hata kwenye jamiii msenge ww umekosa picha za kuweka k.m....
doble_j_2 : Mh ni shidaaaaaa jamani @marynyabenda mh yetu macho
rakwisha :I looove it tooo
littoface Hahaa Tanzania kwa kujudge hamjambo! Loool!, @iambenpol I looove t!
matnardmb Utakoma @iambenpol
samirnasibu Hahahahahaha umenichekesha sna @jarumanunited.
mwandiga Hilo nalo nenooooo @hapixlucas
thayna_tannah I luv......2
queenmartha1 @iambenpol
tajiri_wa_mahaba haaaaaa jamanii mimi napita tu humu ruksa kunifollo 9h
mwavitayamungu Asante sn @cutemy10
eye_de_marie Thanks my....i hate these kind of
people....they do nothing but judge people...if you take their phones
some of them wana video za x na naked pictures ambazo hazi wasaidii
chochote bt my @iambenpol posted that picture of #iamhere by @aliciakeys
kwa sababu zake ila wenye akili mbili wanakimbilia kujudge bila kujua
sababu zlizofanya afanye hivyo. Angepost rihana picha ya uchi wange like
na ku comment "sexy" na utumbo kibao ila kisa @iambenpol amepost
waananza diss eti watamshushia heshima..kwani heshima zenu zinamlisha.
Wengine hata mama zenu hamuwaheshimu alafu mnabwabwaja.....go live ur
lives khaaaaaaaa.....usilolijua litakusumbua so its better to SHUT UR
MOUTH
mwandiga Naungana na ww @eye_de_marie,
lopezmrema Sas kosa lake nn???kama
unaona kakuboa jiblock kila mtu Anaright yakufanya
anachojisikia......binadamu bwana!!!!!bwahahaaaa love dat!!..@iambenpol
brendamnguto Love it also soooo gooood, watu weusi bhn kama mimi
mnafurahsha kioo cha jamiii kinausiana nini na hii pic sasa kwani ben
yeye ndio camera men yeye ka copy na ku paste how cum mwamtukana
kueeeeni na fikira sio kumtukana tuuuuu foooools nyie mnae mtukana ben
maaaana mwaaandika bila kufikiria,@neliusneestory wewe ndio utakuwa
msenge kwa sababu watukana mtu ambae yeye pia ameiga wataka aweke picha
za ma padre na askofu na masheikh,msenge wewe mi nachukua majitu yanayo
ongea without kufikiria stupid
ridifrid Nyie hebu achen hzo kubishana
msivo vijua ua right kabisaaaa @iambenpol kama unajua kiingereza na
unaakil timamu analia @aliciakeys mfollow utajua maana ya hyo pcha.
Monday, September 22, 2014
Home »
Maxwellpain.blogspot.com
» Picha: Ben Pol azua 'zogo' baada ya kupost picha ya Alicia akiwa mtupu kusapoti #WeareHereCampaign
0 comments:
Post a Comment