Monday, September 22, 2014
Home »
Maxwellpain.blogspot.com
» Chris Brown Alivyomsifia Kendrick Lamar.
Chris Brown Alivyomsifia Kendrick Lamar.
Kendrick amefanya kazi na Chris Brown kwenye wimbo wake wa Autumn
Leaves ambao upo kwenye album ya X.Chris anasema Kendrick ni msanii
mpole mwenye nidhamu sana na ameone kitu tofauti kutoka kwake muda wote
waliokuwa wakifanya kazi.
0 comments:
Post a Comment