Baada ya Rapper Jay Z ambaye ni mume wa Beyonce kubadilisha mashairi ya
wimbo wake na mashabiki kutafsiri kuwa mke wake anategemea mtoto wa pili
Beyonce aliona aweke wazi kwa picha kuwa hana kitumbo cha ujauzito kwa
sasa kwa kutoa picha akiwa na nguo ya kuogelea [Bikini].
Friday, September 19, 2014
Home »
Maxwellpain.blogspot.com
» Baada Ya Uvumi Kuwa Ana Ujauzito,Beyonce Ametoa Hizi Picha Akiwa Na Bikini.
0 comments:
Post a Comment