Mholanzi
Marvin Emnes akipongezwa na Jonjo Shelvey baada ya kuifungia Swansea
bao la tatu katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Everton katika Kombe la Ligi
England, maarufu kama Capital One Cup jana usiku. Mabao mengine ya
swansea yalifungwa na Nathan Dyer na Gylfi Sigurdsson.
0 comments:
Post a Comment