Search This Blog

Monday, September 22, 2014

Waliopoteza maisha kwenye kanisa lililoanguka la TB Joshua wafikia 115

Idadi ya watu waliopoteza maisha kufuatia kuanguka kwa jengo lililopo katika kanisa la TB joshua jijini lagos, Nigeria, imefikia watu 115, kwa mujibu wa serikali ya Africa Kusini.                                                    

TB-Joshua-warns
Waziri Jeff rdebe wa Africa Kusini jumatatu hii ameitaka serikali ya Nigeria inayosokolewa vikali kufanya uchaguzi juu ya tukio hilo. Tukio hilo lililotokea sept 12 kwenye eneo la kanisa la muhubiri maarufu, T.B. joshua limesababisha vifo vya watu 84 wa Africa kusini kutoka katika vikundi vya makanisa yaliyomtembelea
Ajari hiyo imesababisha uhasama wa kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili kubwa kiuchumi barani Africa

Waafrika kusini wamechukizwa na kile wanachokiona kama serikali ya Nigeria inajivuta kufanya uchunguzi juu ya kuanguka kwa jengo hilo na kushindwa kuchukua hatua za haraka kuwaokoa waliokua wamenaswa kwenye vifusi.

Joshua na wafuasi wake wanadai kuwa ajari hiyo ni shambulio linalohusishwa na ndege ya ajabu iliyokua ikipaaa juu ya jengohilo kabla haijaanguka.

USIPITWE NA HABARI MBALIMBALI ZIKIWEMO ZA SIASA NA NYINGINE NYINGI NI HAPAHAPA WWW.MAXWELLPAIN.BLOGSPOT.COM ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG PENDWA 

0 comments:

Post a Comment