Nicki Minaj amealikwa kwenda kuzungumza na wanafunzi wa shule ya jijini New York baada ya ombi lake la kutembelea shule aliyosomea kukataliwa wiki iliyopita.
Hivi
karibuni rapper huyo alizungumza na uongozi wa shule ya Fiorello H.
LaGuardia High School na kuuomba aitembelee kama na kuzungumza na
wanafunzi lakini uongozi ulimtosa. Kwenye ujumbe wa Twitter, Nicki
aliandika:
“I
wanted to go back to my HS and speak to the students but the new
principal declined. No need for me to inspire them, I guess. Smh (shake
my head)”.
Aliongeza, “That school changed my life and I wanted to pay it forward to the students there now. I was really looking forward to it.”
Mwakilishi
wa shule hiyo pamoja na mkuu wake Dr. Lisa Mars amedai kuwa
walimkatalia Nicki kwakuwa alitaka kwenda na crew ya kumshoot wakati wa
ziara hiyo, kitu ambacho ni kinyume cha sera za za idara ya elimu ya
New York.
Kukataliwa
na shule hiyo kumeifavya shule nyingine iitwayo Hempstead School
District kumtafuta Nicki Minaj na kumwalika aende katika shule yao.
“Hempstead
School District, which has had some recent hardships, feels it (a
visit by Minaj) would be a boost to their students… We have several
challenges and I want our children to believe and to feel that they
have a chance,” alisema rais wa bodi ya shule hiyo, Lamont Johnson
“I
think she’s a person that’s shown that she didn’t forget where she’s
from and I think Hempstead schools are similar to the area that she
came from.”
- See more at: http://mdadisihuru.blogspot.com/2014/09/nicki-minaj-avaa-mavazi-ya-nusu-uchi.html#sthash.ronbhh6L.dpuf
0 comments:
Post a Comment