Mwimbaji wa Nigeria Davido, ametumia akaunti yake ya Twitter
kuufikisha ujumbe wake kwa wasanii wenzake Wizkid na
P Square kuhusu
albam zao.
Davido amewapongeza wasanii hao ambao albam zao zinafanya vizuri sana
kwenye iTunes hivi sasa, Wizkid (AYO) na P Square (Double Trouble).
Friday, September 19, 2014
Home »
Maxwellpain.blogspot.com
» Neno la Davido kwa Wizkid na P Square kuhusu albam zao
0 comments:
Post a Comment