Mtayarishaji
muziki anayefanya vizuri katika sanaa ya muziki wa kizazi kipya
Tanzania, Mr T Touchez amezungumzia suala zima la dharau kwa baadhi ya
wasanii katika gemu ya muziki na kusema kuwa tabia hii ipo sana ingawa
kwa yeye binafsi haimuathiri.
Mr T Touchez ambaye sasa anafanya kazi chini ya Studio mpya za
Freenation amesema kuwa, tabia hii ya dharau si tu kwa ‘industry’ ya
muziki, bali hata nje ya sanaa hiyo, na kwa sehemu kubwa ni tabia ya
ndani ya mtu ambayo haisababishwi na sanaa, isipokuwa malezi.
Tuesday, September 23, 2014
Home »
Maxwellpain.blogspot.com
» Mr T Touchez Azungumzia Za Dharau Kwa Baadhi Ya Wasanii Wa Bongo Fleva.
0 comments:
Post a Comment