Search This Blog

Monday, September 22, 2014

Big Brother Africa 2014: Mshiriki wa pili wa Tanzania atajwa #HotShots

Big Brother Africa 2014: Mshiriki wa pili wa Tanzania atajwa #HotShots  M-Net na wameendelea na utaratibu wa kutangaza washiriki wa shindano hilo kutoka nchi mbalimbali Africa, na katika majina matatu yaliyotajwa yamemjumuisha Mtanzania wa pili atakayewakilisha katika shindano hilo, mrembo Irene Laveda.
Irene ataungana na Idrisa kuiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo yatakayochukua siku 63 badala ya siku takribani 90 zilizozoeleka.
Washiriki wengine waliotajwa ni Kacey Moore kutoka Ghana na JJ kutoka Zimbabwe.


0 comments:

Post a Comment