Search This Blog

Friday, September 19, 2014

Picha,Msanii Akon Alivyokutana Na Rais Uhuru Kenyatta

Msanii kutoka Senegal anayeishi Marekani Akon amepata nafasi ya kutembelea State House ya Kenya na kukutana na raisa wa Kenya Uhuru Kenyata. Inasemekana Akon bado anashikilia wazo lake la kuboresha maisha ya watu wanaoishi kwenye makazi duni huko Kibera Nairobi. Mpango wa Akon ni kutoa huduma ya umeme kwa wakazi wa eneo hilo lote ndani ya mwaka mmoja.
  1. uhuru 1 uhuru 2 uhuru 3 uhuru 4 uhuru 5

0 comments:

Post a Comment