Mashabiki wa shindano la Big Brother Africa wanaoisubiria
kwa hamu msimu mpya utakaoanza mwezi ujao uliopewa jina la ‘Hot Shots’.
Hivi karibuni wametajwa washiriki wengine sita wanaoziwakilisha nchi
zao. Kutoka Tanzania mrembo Irene Laveda ambaye
ana kipaji cha kuigiza
anaungana na Idris ambaye ni mpiga picha kuiwakilisha nchi yetu katika
jengo hilo.
Angalia picha za washiriki hao sita waliotajwa hivi karibuni.
Laveda (Tanzania)
M'am Bea (Ghana)
Luis (Namibia)
Lilian (Nigeria)
Kacee Moore (Ghana)
JJ (Zimbabwe)
Wednesday, September 24, 2014
Home »
Maxwellpain.blogspot.com
» Big Brother Africa 2014: Picha nzuri za washiriki 6 waliotajwa hivi karibuni akiwemo Mtanzania
0 comments:
Post a Comment