Search This Blog

Wednesday, September 10, 2014

Snura mezani kwa Soudy Brown,kuhusu stori zinazosema kuwa ni mjamzito.

snuraaaKupitia singo zake za Majanga,Nimevurugwa na Ushaharibu zimefanya Tanzania na nje ya Tanzania kumfahamu Snura ambaye
style ya muziki wake na namna ambavyo anaperfoam on stage imemfanya kuwa na mashabiki wengi.
Mezani kwa Soudy Brown kuna  stori ambazo zimesambaa kuwa Snura ni mjamzito ndiyo sababu inayomfanya kutosikika vizuri kama mwanzo,Meneja wake HK amezungumzia hili,baada ya Snura mwenyewe kutopatikana.

0 comments:

Post a Comment