Wednesday, September 10, 2014
Home »
Maxwellpain.blogspot.com
» BREAKING NEWS: AJALI MBAYA YA BASI LA SUPER FEO YAUA MCHANA HUU SONGEA!
BREAKING NEWS: AJALI MBAYA YA BASI LA SUPER FEO YAUA MCHANA HUU SONGEA!
Basi la la kampuni ya Super Feo linalofanya safari zake Songea- Mbeya limepata ajali mchana huu maeneo ya Shule ya Tanga kilomita chache kutoka katikati ya manispaaa ya
Songea. Taarifa za awali zinaarifu watu wawili wamepoteza maisha na idadi ya kamili ya majeruhi bado haijajulikana ila ni zaidi ya 20 Endelea kufuatilia blog hii kwa updates zaidi na picha za ajali hiyo...!
0 comments:
Post a Comment