Jux leo ametambulisha wimbo wake mpya "Siskii" ambayo itakuwa ni single
yake ya 5 tangu alipoingia katika game la muziki na ni single baada ya
wimbo wake uliofanya vizuri sana "Nitasubiri"
Wednesday, September 10, 2014
Home »
Maxwellpain.blogspot.com
» Brand Nu joint:Wimbo wangu mpya "Siskii" umeandikwa na Mabeste kwa shilingi millioni 2 "Jux"
0 comments:
Post a Comment