Asubuhi
ya leo kabla wasanii kuanza safari ya kurudi Dar walitiza ahadi yao kwa
ndugu, jamaa pamoja na majuruhi wa ajali iliyotokea majuzi huko musoma,
kwakuwatembelea majeruhi wa ajali hiyo katika hospitali ya mkoa wa mara na
kugawa nao kidogo walichokipata kupitia show yao ya Serengeti Fiesta
2014 "Sambaza Upendo" iliyofanyika jioni ya jana katika viwanja vya
karume mjini musoma na wamekabidhi msaada wa thamani ya shilingi milioni
tatu.Monday, September 8, 2014
Home »
» Wasanii watoa msaada wa thamani ya shilingi milioni tatu kupitia tamasha la Serengeti Fiesta
0 comments:
Post a Comment