Kipindi
cha kutafuta vipaji cha America’s Got Talent kimepata mshindi wa awamu
ya tisa. Show hii inayorushwa NBC imetoa mshindi wa tisa ambaye ni Mat
Franco. Kijana huyu ameweza kumshinda mpinzani wake aliyetegemewa
kushinda Emily West.
Franco ameshinda dola milioni moja na atafanya show kwenye tamasha la
America’s Got Talent mjini Las Vegas. Mat alisema ushindi wake ni
“Un-freaking believable.”
Friday, September 19, 2014
Home »
Maxwellpain.blogspot.com
» Huyu Ndio Mshindi Wa Msimu Wa Tisa Wa America’s Got Talent.
0 comments:
Post a Comment