Search This Blog

Friday, September 19, 2014

Picha,Hongera Kwa Msanii Dabo Kwa Kufunga Ndoa.

dabooJumapili ya terehe 12 September 2014 msanii wa Regge na Ragga kutoka Tanzania Dabo amefunga ndoa na Bi Zena ambaye wamekuwa wapenzi kwa muda mrefu na wana mtoto mmoja wa kike. Harusi yao imefanyika kwenye ukimbi wa Mamba jijini Dar es salaam.

0 comments:

Post a Comment