Taarifa kutoka kwa watu wa karibu wa Trey
Songz ni kwamba jamaa anamfuatilia kwa karibu sana msanii wa rnb Mila
J.Trey Songz na Mila J wameonekana mara kwa mara wakiwa pamoja na hivi
karibuni ilikuwa New York kwenye Hafla ya kuchangisha pesa iliyoendeshwa
na msanii wa rnb Ne-Yo.
Utafahamu mkuwa wasanii hawa tayari wana wimbo wamefanya pamoja unaitwa “Disrespectful” kwenye album mpya ya Trey inayoitwa Trigga ambayo ndio wimbo unaokaribia kutoka baada ya kukamilika kwa video.Friday, September 19, 2014
Home »
Maxwellpain.blogspot.com
» Huyu Ndio Mpenzi Mpya Wa Trey Songz Na Wameshafanya Wimbo Pamoja.
0 comments:
Post a Comment