Msanii
wa Rnb Chris Brown na The Game wametumiwa na kituo maarufu cha radio
L.A. Marekani kwenye kampeni ya kupiga vita makundi ya wahuni
yanayofanya uhalifu na kuvunja amani mitaani.Mastaa wengine watakao
husishwa ni Nick Cannon, Trey Songz, Tyga, na Jason Derulo.
Power 106 imetayarisha mchezo wa kikapu utakao wahusisha mastaa hao
na vijana wa mitaani huku wakisambaza ujumbe wa vijana kufata na kutia
juhudi katika kufanikisha ndoto zao. Wasanii hawa wametumika sababu
waliwahi kuhusishwa na makundi ya fujo kama Chris Brown ambaye hivi
karibuni alikoswa koswa na risasi na Suge Knight kupigwa risasi akiwa
naye. The Game pia album yake mpya inaitwa “Blood Money.”
Friday, September 19, 2014
Home »
Maxwellpain.blogspot.com
» Kituo Cha Radio Kilivyowatumia Chris Brown Na Game Kubadilisha Tabia Za Vijana Mitaani.
0 comments:
Post a Comment