Wachezaji wa Brazil Neymar na Marcelo
wamekutana na rapper Drake na kula bata kwa muda mfupi huko Miami. Drake
ambaye yupo kwenye tour na Lil Wayne alionekana mwenye furaha kukutana
na wanasoka hawa kutoka Brazil. Drake pia amepewa jezi ya Neymar ya
Barcelona yenye namba 11 mgongoni.
Monday, September 8, 2014
Home »
» Picha,Drake Alivyokutana Na Neymar Na Marcelo Miami.
0 comments:
Post a Comment