Search This Blog

Friday, September 12, 2014

Picha, Gabrielle Union Na Dwayne Wade Waja Tanzania Kwaajili Ya Honeymoon.

noma 2Baada ya kufunga ndoa mnamo August 30, Star mkubwa wa filamu Gabrielle Union na mume wake mcheza kikapu wa timu ya miami heats Dwayne Wade wamekuja Tanzania kwaajili ya Fungate yao ya mwezi moja kama walivyotangaza awali.

Wakiwa Tanzania wameweza kutembelea mbuga ya wanyama ya Serengeti na kupata picha na wamasai wa huko.
noma 3

0 comments:

Post a Comment