Lilikuwa bonge la shwangwe kiukweli nashindwa nianzie wapi kukusimulia
ila nachoweza kusema ule uwanja wa Majengo ulitimka vumbi ile mbayaaa,
Moshi kama walitisha vya kutosha , sema nini kuna vumbi sana hahahaha!
hizi hapa picha 12 kwaajili yako...
Ally Kiba... |
Rachel... |
Rachel |
Fid Q... |
Feza Kessy... |
Shaa akiwa na Team yake kwenye stage ya serengeti fiesta 2014... |
Producer Lamae akisababisha zile Refix kwenye 1 an 2 |
Roma... |
Mapacha... |
Dully Sykes... |
Dully Sykes... |
0 comments:
Post a Comment