Shakira
na Gerard Pique wametangaza rasmi kuwa wanategemea mtoto wa pili kwenye
familia yao. Msanii huyu kutoka Colombia ametangaza
August 28 kupitia
twitter kuwa wanategemea mtoto wa pili na wanashukuru mashabiki kwa
maombi yao.
Shakira na Gerard wanamtoto moja anaitwa Milan alizaliwa January 2013.
Sunday, August 31, 2014
Home »
» Post Ya Shakira Kuhusu Mtoto Wa Pili Na Gerard Wa Barcelona
0 comments:
Post a Comment