Manager
wa Tip Top Connection na Diamond Platnumz Babu Tale inasemekana
anamsimamia kwa sasa Shilole kama msanii wake kwa kile ambacho
kimeelezwa na Soudy Brown kuwa deni alilokua anadaiwa Shilole.
Deni ambalo linasemwa kuwa Babu Tale alilipa ni la gari ambalo alikua
akidaiwa Shilole hivyo wakakubaliana kuwa watakua wakikatana kwenye
show tofauti mpaka deni hilo litakapoisha.Habari hii inaendelea page news
Saturday, August 30, 2014
Home »
» Sababu inayosemekana ya Babu Tale kumsimamia Shilole kikazi kwa sasa ni hii.
0 comments:
Post a Comment