Rapper Joe Budden ameripotiwa kujisalimisha kwenye
kituo kimoja cha polisi cha New York.Hii imethibitishwa na post ya
twitter ya kituo cha polisi kuwa rapper
Joe Budden amejisalimisha baada ya kutangazwa kuwa anatafutwa na
polisi kwa kosa la Unyanganyaji. Joe anakabiliwa na kosa la kumpokonya
binti mwenye miaka 25 simu yake ya mkononi mnamo August 18. Taarifa
zingine za kukamatwa kwa Joe Budden zinahusishwa na kumpiga msichana
aliyekuwa mpenzi wake na kumsababishia majeraha. Hii ndio ilikuwa stori
yake> JoeThursday, August 28, 2014
Home »
» Huyu Rapper Aliyejisalimisha Polisi Na Makosa Anayokabiliwa Nayo.
0 comments:
Post a Comment