Emmanel
Okwi ameamua kurejea katika timu yake ya zamani ya Simba Sports
Club,Emanuel Okwi ambaye ni raia wa Uganda rasmi leo amesaini kujiunga
na Simba baada ya kuelewana na uongozi wa klabu hiyo.
Emanuel Okwi amechukua maamuzi ya kusaini kucheza timu ya Simba baada ya Yanga kumuacha.
0 comments:
Post a Comment