Search This Blog

Friday, August 29, 2014

Boss wa TBS aliyehukumiwa kwenda jela miaka mitatu.

Screen Shot 2014-08-29 at 8.32.31 AMMahakama ya Hakimu mkazi Kisutu Dar es Salaam August 28 2014 imetoa hukumu kwa aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Viwango Tanzania (TBS) Charles Ekerege kifungo cha miaka 3 jela.Habari hii inaendelea kwenye page news

0 comments:

Post a Comment