Kutana
na ya moyoni mwa Tunda Man, staa wa bongofleva kutokea kundi la Tiptop
Connection ambapo amepost picha kadhaa na maelezo yake kwenye mtandao wa
instagram.
Ya kwanza ni hiyo hapo juu akiwa kasimama mbele ya mabango
yanayomuhusu Mbunge wa Monduli Edward Lowassa anaetajwa sana kuhusu
Urais wa Tanzania 2015 ambapo kwenye maelezo ya hiyo picha Tunda Man
aliandika ‘fotmation yetu ni 4-4-2′
Saturday, August 30, 2014
Home »
» Uliona alichopost msanii Tunda Man kuhusu Edward Lowassa? kiko hapa
0 comments:
Post a Comment