Stori: Richard Bukos
MSANII nyota wa filamu za kibongo, Jennifer Kyaka maarufu kwa jina la kisanii kama Odama, usiku wa kuamkia Jumapili iliyopita alinaswa Live akiwa kwenye pozi la aina yake akiwa na pedeshee maarufu jijini Dar anayefahamika kama Papaa Daudi ambaye anadaiwa kuwa mume wa mtu.
Wawili hao walinaswa wakiwa kwenye pozi hilo ndani ya Ukumbi wa Ten
Lounge uliopo Makumbusho jijini Dar es Salaam ambapo Odama alikuwa
akimdekea mwanaume huyo kama mtu wake wa karibu.
Wakiwa ukumbini humo, wawili hao walionekana kupata kiburudisho kwa
namna yake huku mara kwa mara wakigonga ‘chiaz’ na kunyweshana mvinyo na
kuwafanya waliokuwa karibu yao kuwaonea gere.
Licha ya macho ya watu kuonekana kuwatazama kwa muda mwingi, lakini
wawili hao hawakumjali mtu bali waliendelea kuponda raha huku mikono ya
mwanaume ikiwa haichezi mbali mapajani mwa Odama.
Baada ya kupata picha kadhaa za wawili hao, Paparazi wetu aliwasogelea
na kuwauliza kama wao ni mtu na mwenza wake, lakini wakabeza na kumtaka
awaache wale raha zao.
Msanii nyota wa filamu za kibongo, Jennifer Kyaka.
“Aaaah jamani hebu tuacheni jamani nyinyi kila mkiona watu wanastarehe,
mnaanza kuhisi ni wapenzi, hebu tuacheni jamani,” aliongea Odama huku
akipata mvinyo.Papaa Daudi alipotakiwa kutoa neno , alisema: “Nakuomba sana, we ndugu
0 comments:
Post a Comment