Kwa
matukio ya kuungua moto kwa msikiti kwa kipindi cha miezi miwili hii
imekua ikifululiza sana ambapo August 13 msikiti wa Mtambani ambao uko
maeneo ya Kinondoni Manyanya uliungua upande wa juu.
September 12 msikiti huo huo wa Mtambani uliungua tena na sababu
iliyotajwa ni kama ya mwanzo kuwa ilitokea hitilafu ya umeme,taarifa
nyingine iliyonifikia ni kuungua kwa msikiti mwingine leo Dar es salaam.
Huu ni Msikiti wa madhehebu ya Wahindu ambao upo Mtaa wa Kibasila leo
umeteketea kwa moto na baadhi ya mali kusemekana zimeungua na mtu mmoja
kukimbizwa hospitali kutokana na mshituko.
Miongoni mwa mashuhuda wa tukio hili amesema kuwa moto huo umesababishwa na hitilafu ya umeme iliyoanzia kwenye mashine ya luku.
Friday, September 19, 2014
Home »
Maxwellpain.blogspot.com
» Msikiti mwingine uliyotajwa kuungua moto Dar es salaam Sept 18.z
0 comments:
Post a Comment