Tamasha la Kili Music Tour 2014 lilifungwa kwa staili ya aina yake
katika viwanja vya Leaders Club ambapo wasanii wanaofanya vizuri nchini
walilishambulia jukwaa kwa masaa nane mfululizo na kuzikonga nyoyo za
maelfu waliojitokeza. Burudani usiku huo ilipambwa na Mashujaa Band,
Mapacha Watatu, Malaika Band, Rich Mavoko, Vanessa Mdee, Jambo Squad,
Ommy Dimpoz, Ben Pol, Khadija Kopa, Profesa Jay, Mwana FA, AY na Weusi.
Mvua iliyomwagika wakati fulani haikuwa kikwazo kwa mashabiki
kuendelea kufurahia burudani na hadi
mwisho wengi kuondoka wakiwa
wameridhika.
fsds
Monday, September 8, 2014
Home »
» Kili Music Tour 2014 yakamilishwa kwa kishindo Dar
0 comments:
Post a Comment