Monday, September 1, 2014
Home »
» Chicharito ameondoka Man UTD – hii ndio klabu mpya aliyohamia
Chicharito ameondoka Man UTD – hii ndio klabu mpya aliyohamia
Siku ya kufungwa kwa dirisha la usajili inazidi kupamba moto, muda mfupi baada ya Falcao kwenda Man United, Javier Hernandez Chicharito ameondoka
Old Trafford.
Taarifa zilizothibitishwa na Man United zinasema kwamba Hernandez amejiunga na Real Madrid kwa mkopo wa msimu mmoja.
Hernandez ambaye alijiunga na United mnamo mwaka 2010 anaenda Madrid kuchukua nafasi ya Alvaro Morata ambaye aliuzwa Juventus.
0 comments:
Post a Comment