Search This Blog

Friday, September 19, 2014

Village Swaraj; " Ukitaka Kuujua Moyo Wa Nchi Ulipo, Nenda Vijjijini"- Mahatma Gandhi

..Na uende huko ukaishi na kuwasikiliza wanavijiji, uzungumze nao, si kuwahubiria.
Pichani nikiwa na Mkulima wa karanga, Frank Lusulo, alinikaribisha nyumbani kwake, mchana mmoja, kijijini Chipogolo, Mpwapwa, Dodoma, hivi karibuni...

0 comments:

Post a Comment