Screen Shot 2014-09-11 at 6.39.05 AMUsingizi ni kitu kingine ambacho kinaweza kuwa kigumu kukizuia pale kinapotaka kuchukua nafasi yake, sio ajabu kukutana na mtu kasinzia kwenye daladala, ofisini au darasani ambao wengi tumewaona wakisinzia wamekaa ila huyu jamaa wa Japan ndio alitisha.
Thursday, September 11, 2014
Home »
Maxwellpain.blogspot.com
» Usingizi ni noma… huyu jamaa wa Japan naye alitia fora.
0 comments:
Post a Comment