la katiba linaendelea na vikao vyake kwenye mjia wa Dodoma 104.4 ambapo
leo miongoni mwa waliowasha vipaza sauti na kuongea ni pamoja na
Kingunge Ngombale Mwiru na John Cheyo ambae ndio tunae kwenye hii post
akizungumzia ishu ya Rais
kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na
kukubaliana nao kuitumia katiba ya zamani kwenye uchaguzi mkuu ujao
lakini kwa kuifanyia baadhi ya marekebisho.
Thursday, September 11, 2014
Home »
Maxwellpain.blogspot.com
» Ulikua mbali na TV? nimeangalia bunge la katiba kwa niaba yako leo nikakuchukulia hii ya John Cheyo.
0 comments:
Post a Comment