Mcheza tennis Serena Williams amemshinda Caroline Wozniacki
nakushinda US Open kwa mara ya sita na Grand Slam kwa mara ya 18 sasa.
Serena ambaye ni namba moja duniani kwa wanawake kwenye tennis
amemshinda mpinzani wake kwa seti 6-3 6-3 .
Ushindi huu umemuweka namba nne kwenye orodha ya wachezaji
walioshinda vikapi hivi mara nyingi zaidi kama Martina Navratilova na
Chris Evert.
Monday, September 8, 2014
Home »
» Rekodi Mpya Aliyoweka Serena Williams Baada Ya Kushinda US Open Na Grand Slam.
0 comments:
Post a Comment