Search This Blog

Friday, September 12, 2014

PICHAZ: AJALI YA GARI COCO BEACH..JAMAA AIBA GARI LA MAMA 'AKE NA KUMPA DEMU WAKE ALIYEPATA NALO AJALI!

 
Imetokea Mitaa ya Coco Beach DARImetokea pande za COCO BEACH kuna JAMAA bana aliiba NDINGA kwa BI MKUBWA wake akaenda nalo BEACH alipofika kwa mbwembwe akamkabidhi DEMU wake aendeshe kumbe DEMU hajui KUNYONGA banasi akalipandisha milimani kule kwa mwendo wa kasi akashindwa kufunga breki akaliangusha toka juu mlimani mpaka chini kwenye yale maporomoko.

Kwa sasa DEMU yupo MUHIMBILI ICU kaumia vibaya sana na mchizi nae kavunjika MKONO wa kushoto sa sijui alikua anataka kulizuia NDINGA kwa mikono daaaah Mbwembwe hazifai. Bi mkubwa alipovutiwa waya alifika fasta eneo la tukio na alipoliona NDINGA lake lipo kwenye hali ya UCHAPATI CHAPATI aliangua kilio kama kafiwa na mumewe. Shuhudia picha jinsi ilivyokuwa..!
NB: Imewekwa kama ilivyotumwa na shuhuda eneo la tukio. Kwa taarifa kamili stay tuned mdau!

0 comments:

Post a Comment