Search This Blog

Friday, September 12, 2014

Picha,Mchezaji Mario Balotelli Alivyoteremsha Bukta Yake Uwanjani.

Mario_Balotelli_strugglesMario-Balotel
Mario_Balotelli_struggles-2 Mchezaji wa timu ya taifa ya Italia ambaye hivi karibuni amesajiliwa na Liverpool amefany kituko kingine uwanjani kwa kuvua bukta wakati wa mazoezi na kuonyesha nguo yake ya ndani.
Wachambuzi wa soka wanasema Mario ataendelea kufanya vituko hivi kwenye maisha yake yote ya soka,ndiovyo alivyo.

0 comments:

Post a Comment