Search This Blog

Saturday, September 13, 2014

PICHA HIZI MMH HAIKUBALIKI: SHILOLE ANAKOELEKEA SASA NI MAJANGA...HII NDIO KUWA KIOO CHA JAMII KWELI?!



Msanii Shilole akifanya yake!
Wakiulizwa hujitetea ya kuwa maeneo waliyokuwepo yanaruhusu kuvaa hivyo, ni sawa hatukatai lakini kwanini uzitupie mtandaoni ilihali wajua una mafans wanaokufollow wa rika tofauti?! Ni hayo tu!

Shilole akiwa amejilaza kwa kusistiri na taulo, aliyekaa ni mpenzi wake Nuhu Mziwanda!

0 comments:

Post a Comment